Maelfu ya wakenya wameingia mtaani leo kuandamana. Ni muendelezo wa maandamano yaliyoanza juma lililopita kwa uchache, lakini ya leo yanaonekana kuwa na sura na picha kubwa kuzunguka kifo cha ...