Madagascar ambayo imekumbwa na kimbunga Fytia kwa siku mbili, tangu Jumamosi Januari 31 hadi Jumapili Februari 1, sasa ...
"Kijana wangu aliuliwa kama mnyama," alisema Meshack Ojwang, kabla ya kububujikwa na machozi mbeli ya wanahabari nje ya kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi, Kenya. Mwnawe wa kipekee Albert ...
Maelfu ya wakenya wameingia mtaani leo kuandamana. Ni muendelezo wa maandamano yaliyoanza juma lililopita kwa uchache, lakini ya leo yanaonekana kuwa na sura na picha kubwa kuzunguka kifo cha ...
Walisema kifo cha mende ni kulala chali. Hakika aliyesema haya hakukosea. Serikali ya Uhuru Kenyatta kwa mtazamo wa wengi ni kama mende anayesubiri kifo chake mwaka wa 2017 kutokana na ahadi zake tasa ...
KIFO cha kipa wa zamani wa Taifa Stars, Yanga, Sigara na Mtibwa Sugar, Peter Manyika Sr kimewaliza wachezaji mbalimbali hapa nchini, huku wakimzungumzia kwa nyanja tofauti namna walivyofanya ...
Alain Traoré, jina halisi la Alino Faso, alizuiliwa tangu mwezi Januari mwaka huu na alifunguliwa mashitaka na mahakama ya Côte d’Ivoire kwa "kushirikiana na maafisa wa nchi ya kigeni" na "njama." ...
Chama cha ODM kinakabiliwa na changamoto kubwa za uongozi na mwelekeo wa kisiasa miezi mitatu baada ya kifo cha mwasisi wake ...
Mama wa mwanamuziki wa nyimbo za njili nchini Betty Bayo, amewasilisha rasmi ombi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma nchini ili kufunguliwa uchunguzi rasmi kuhusu kifo cha binti yake. Marehemu ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin Isaac Mbiliewi Mtei,, kilichotokea usiku ...
WADAU wa soka nchini wamesikitishwa na kifo cha aliyekuwa mlinda mlango wa zamani wa timu ya Taifa na Yanga, Peter Manyika aliyefariki jana asubuhi jijini Dar es Salaam. Wakizungumza kwa nyakati tofau ...