Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Xi Jinping amempendekezea msaada wa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz na kumpa ...
Wakati Marekani inaendeleza kizuizi chake katika mlango bahari wa Hormuz, kuna njia nyingine muhimu ya bahari imeanza kugonga vichwa vya bahari. Mlango bahari wa Mallaca, Kusini Mashariki mwa Asia.
Makubaliano ya usitishaji vita kati ya Marekani na Iran yana wiki nne tu tangu yalipoanza kutekelezwa, lakini Iran imeonya kwamba sasa yako hatarini kuvunjika kufuatia uchokozi wa Marekani na washirik ...
"Tabia ya upande wa Ujerumani huongeza hatari za usalama na kutuma ishara mbaya," msemaji wa jeshi la China Li Xi amesema katika taarifa iliyorejelewa na shirika la habari la AFP. Ameongeza kuwa ...
Marekani na Ufilipino zimeishutumu China kwa “kitendo hatari” katika Bahari ya China Kusini ambacho kinatishia amani na uthabiti katika eneo la Indo-Pasifiki. Kujihusisha kwa Marekani kunakuja baada ...
Umoja wa Ulaya Jumanne umekosoa msamaha wa hivi karibuni wa vikwazo uliotolwa na Marekani dhidi ya mafuta ya Urusi.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results